
● The Biz-TEST Fund ni fursa ya ufadhili kutoka kwa The Giving Hands Consortium inayolenga watu binafsi ambao wanatafuta misaada wa kifedha ili waanzishe au waongeze biashara zao ndogo ndogo.
● Sharti pekee ya kupata ufadhili ni kupasi Biz-Test yako.
● Biz-Test ni nini? Tazama video iliyo hapa chini ili ujue zaidi.
©2025. Ulizahow Virtual Booths.